MWANGI, JACKSON NDUNG’U
(Laikipia University, 2021-07)
Tendi za Kiswahili zimekuwepo katika maeneo ya Pwani ya Afrika Mashariki tangia
karne ya 17 na zimekuwa zikienziwa, kudhaminiwa na kusawiri tamaduni na asasi z
a
wakazi hawa. Uwepo wa tendi katika maeneo ya Kiafrika ...