KANINI, MUNYAO JOSEPHINE
(Laikipia University, 2014)
Nyimbo kama zilivyo tanzu zingine za fasihi simulizi huhusisha matumizi ya mitindo
changamano katika kuwasilisha ujumbe wa kisiasa. Utafiti huu ulidhamiria kufanya
uchanganuzi wa mitindo ya nyimbo za kisiasa zilizoimbwa ...