KARIITHI, FRANCIS M
(Laikipia University, 2015)
Tangu maajilio ya vyama vingi vya kisiasa nchini Kenya lugha imekuwa ikitumiwa kama zana
ya kisiasa na kijamii katika kukuza ushindani na kukolezea mikakati ya usemi wa kikabila
ambao hunuiwa kutoa nafasi kwa mwanajamii ...