KIMUTAI, KIRUI NICHOLAS
(LU, 2024-10-01)
Miviga za jandoni ni mojawapo ya tanzu za fasihi simulizi. Utanzu huu hutumiwa
kupitisha mafunzo kuhusu masuala ya ngono kwa wavulana wakiwa jandoni. Mafunzo
yanayohusu tendo la ndoa katika jamii yoyote huwa nyeti. ...